728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, April 24, 2016

    JUMA ABDUL ANOGEWA YANGA AONGEZA MIAKA MIWILI ZAIDI KUKIPIGA JANGWANI

    Dar es salaam,Tanzania.

    Mlinzi mahiri wa kulia wa Tanzania Juma Abdul "Dani Alves" amesaini mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu yake ya Yanga SC ya jijini Dar es salaam.

    Mkataba huo mpya uliosainiwa hivi karibuni utamfanya Abdul,24 aendelee kuwa mali ya Yanga SC mpaka mwaka 2018.Abdul alijiunga na Yanga SC mwaka 2012 akitokea MtibwaSugar ya Manungu,Morogoro.



    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: JUMA ABDUL ANOGEWA YANGA AONGEZA MIAKA MIWILI ZAIDI KUKIPIGA JANGWANI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top