728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, April 30, 2016

    MAREKEBISHO:KESI ZA KINA BOCCO, NGOMA,KAPOMBE NA WENGINE SASA KUSIKILIZWA MEI 3.

    Dar es salaam,Tanzania.

    Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
    (TFF) kilichopangwa kufanyika Jumapili,Mei Mosi 2016, kimeahirishwa hadi Jumanne Mei 3,mwaka huu.

    Sababu za kuahirisha kikao hicho ni kwamba baadhi ya wajumbe wamepata udhuru hivyo wangeshindwa kuhudhuria kikao hicho kitakachofanyika jijini Dar es Salaam kupitia mashauri
    mbalimbali yaliyowasilishwa. 

    Wafuatao kesi zao zitasikilizwa katika kikao hicho:

    1. (i) John Bocco – Azam FC
    2. (ii) Shomari Kapombe – Azam FC
    3. (iii) Aishi Manula – Azam FC
    4. (iv) Amissi Tambwe – Yanga SC
    5. (v) Donald Ngoma - Yanga SC
    6. (vi) Paulo Jinga – JKT Rwamkoma 
    7. (vii) Kipre Tchetche – Azam FC
    8. (viii) Abel Katunda – Transit Camp
    9. (ix) Zephlyn Laurian – JKT Rwamkoma 
    10. (x) Idrisa Mohamed – JKT Rwamkoma
    11. (xi) DR. Mganaga Kitambi (Daktari) –
    Coastal Union
    12. (xii) Herry Chibakasa – Friends Rangers
    13. (xiii) Ismail Nkulo – Polisi Dodoma
    14. (xiv) Said Juma – Polisi Dodoma
    15. (xv) Idd Selaman – Polisi Dodoma
    16. (xvi) Edward Amos – Polisi Dodoma
    17. (xvii) Stewart Hall (Kocha)– Azam FC

    IMETOLEWA NA MSEMAJI WA TFF,ALFRED LUCAS MAPUNDA 'MAPS

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAREKEBISHO:KESI ZA KINA BOCCO, NGOMA,KAPOMBE NA WENGINE SASA KUSIKILIZWA MEI 3. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top