728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, April 27, 2016

    TFF YAPATA AFISA HABARI MPYA

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Alfred Lucas kuwa Afisa Habari na Mawasiliano mpya wa shirikisho kuanzaia leo Aprili 27, 2016.

    Alfred anachukua nafasi ya Baraka Kizuguto aliyehamishiwa katika Kurugenzi ya Mashindano kuwa Afisa Mashindano na Meneja wa Mifumo pepe ya Usajili (TMS).

    Alfred ana uzoefu kutoka vyombo mbalimbali alivyovitumikia kama mwandishi wa habari na mhariri.

    Kadhalika Alfred kitaaluma amesomea uandishi wa habari, uhusiano wa kimataifa na diplomasia pamoja na lugha.

    Mawasiliano ya Afisa Habari,
    Alfred Lucas:

    Namba ya simu: 0769 088111
    alfredkadenge@gmail.com

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: TFF YAPATA AFISA HABARI MPYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top