London,England.
Kuelekea mtanange wa fainali wa kombe la kombe la FA jumamosi hii vilabu ya Arsenal na Aston Villa vimeendelea kukumbwa na balaa la majeruhi kwa wachezaji wake muhimu kuumia.
Arsenal itashuka dimbani siku hiyo bila ya mshambuliaji wake mahiri Danny Welbeck anayesumbuliwa na goti.Habari njema ni kuwa kiungo na nahodha Mikel Arteta anategemewa kurejea dimbani siku hiyo baada ya kuwa nje tangu mwezi Novemba mwaka jana huku Villa wao wakisubiri jibu la daktari kuhusu afya ya mlinzi wake Jores Okore ambaye amekosa michezo ya hivi karibuni kwa jeraha la goti.
Mbali ya Okore nyota wengine waliomajeruhi ni mlinda mlango Shay Given,mlinzi wa kushoto Kieran Richardson, Ciaran Clark (Goti)
0 comments:
Post a Comment