728x90 AdSpace

Thursday, July 24, 2014

BARCELONA YAMNASA BEKI KISIKI WA VALENCIA

Klabu ya Barcelona imekamilisha usajili wa beki kisiki wa Valencia mfaransa Jeremy Mathieu 30 kwa mkataba wa miaka minne.

Mathieu ambaye ameichezea timu ya taifa ya Ufaransa michezo miwili pekee ametua Barcelona kwa dau la €20m na kuweka rekodi ya kuwa mlinzi ghari aliyesajiliwa akiwa na umri mkubwa wa miaka 30 huku akiwekewa kipengere cha kuuzwa kwa €40m kwa klabu yoyote ile itakayomuhitaji.

Mathieu anakuwa mchezaji wa tano kutua Camp Nou baada ya Luis Suarez,Ander ter Stegen,Claudio Bravo na Ivan Rakitic.

Posted by: Paul Manjale
Next
LAMPARD ATUA MAREKANI
Previous
This is the last post.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: BARCELONA YAMNASA BEKI KISIKI WA VALENCIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown