728x90 AdSpace

  • Latest News

      Wednesday, July 22, 2015

      USAJILI:BEBE ATUA KLABU YA TISA NDANI YA MIAKA SITA/QUARESMA AENDELEA KUHAMA



      Winga Mreno Bebe ameendelea kuhama vilabu kila kukicha mara baada ya leo kuhamia Rayo Vallecano akitokea Benfica.

      Bebe,25 aliyewahi kukipiga na Manchester United miaka michache iliyopita ametua Vallecano kwa mkopo wa msimu mmoja na kufikisha jumla ya vilabu tisa katika miaka sita.
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Post a Comment

      Item Reviewed: USAJILI:BEBE ATUA KLABU YA TISA NDANI YA MIAKA SITA/QUARESMA AENDELEA KUHAMA Rating: 5 Reviewed By: Unknown