728x90 AdSpace

  • Latest News

      Friday, July 31, 2015

      EUROPA LIGI:WESTHAM YABANWA NYUMBANI,SOUTHAMPTON MAMBO SAFI,TADIC BALAA


      West Ham defender James Collins is sent off against Astra in the Europa LeagueWestham imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa Upton Park baada ya kulazimishwa sare ya goli 2-2 na klabu ya Astra Giurgiu ya Romania katika michezo ya raundi ya sita ya michuano ya Europa ligi jana usiku.Magoli ya Westham
      yalifungwa na Enner Valencia na Mauro Zarate huku magoli ya wageni yakifungwa na Fernando Boldrin pamoja na lile la kujifunga la mlinzi mpya wa Westham Angelo Ogbonna.Westham pia ilimpoteza mlinzi wake Collins aliyelimwa kati nyekundu kwa kuonyesha mchezo mbaya huku Enner Valencia akipata majeraha.

       Southampton v Vitesse
      Katika mchezo mwingine Southampton imeibugiza magoli 3-0 klabu ya Vitesse.Magoli ya Southampton yamefungwa na Graziano Pelle,Dusan Tadic na Shane Long.

      Matokeo mengine ya Europa ligi ni kama ifuatavyo.....


      Mechi za marudiano ni tarehe 6 Agosti
      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Post a Comment

      Item Reviewed: EUROPA LIGI:WESTHAM YABANWA NYUMBANI,SOUTHAMPTON MAMBO SAFI,TADIC BALAA Rating: 5 Reviewed By: Unknown