728x90 AdSpace

  • Latest News

      Monday, July 27, 2015

      KAZIMOTO ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC


      Baada ya uvumi wa siku kadhaa sasa ni rasmi kuwa kiungo Mwinyi Kazimoto amerejea Simba SC akitokea nchini Qatar alikokuwa akisukuma ndinga la kulipwa.

      Kazimoto ambaye alicheza kwa mafanikio Simba kipindi cha nyuma amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuwachezea wakali hao wa mtaa wa Msimbazi,Dar es salaam.

      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Post a Comment

      Item Reviewed: KAZIMOTO ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA SC Rating: 5 Reviewed By: Unknown