KOCHA
wa Manchester United Mreno,Jose Mourinho amejumuisha makinda 10 kwenye kikosi
cha miamba hiyo ambacho kesho Jumapili kitakuwa nyumbani Old Trafford kucheza
mchezo wake wa mwisho wa ligi kuu kwa kuikaribisha timu ngumu ya Crystal Palace.Makinda hao ni makipa Joel Pereira na Kieran
O'Hara.Wengine ni Demetri Mitchell,
McTominay, Josh Harrop, Matthew Willock, Angel Gomes na Zachary Dearnley ambao
wataungana na Timothy Fosu-Mensah na Axel
Tuanzebe ambao tayari wameshaonja radha ya kukichezea kikosi cha
wakubwa.Akiulizwa kama makinda hao wamewiva kuitumikia timu hiyo
Jumapili,Mourinho amesema hapana.Siyo wote.
Netflix 'is the front-runner to broadcast NFL's Christmas Day slate... and
the streaming giant could pay $200MILLION to take highly-anticipated
doubleheader'
-
After breaking into live sports broadcasting just a few months ago, it
appears Netflix is going after the rights for the biggest sports league in
the Unite...
0 comments:
Post a Comment