Manchester, Uingereza.
MANCHESTER United ikiwa katika uwanja wake wa nyumbani wa Old Trafford imekubali kichapo cha mabao 2-1 toka kwa wapinzani wao wa jadi Manchester City.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na Mwamuzi Mark Clatternberg ilishuhudiwa Manchester City ikijipatia mabao yake kupitia kwa Kevin De Bruyne 15' na Kelechi Iheanacho 36'.
Bao la kufutia machozi la Manchester United limefungwa na Zlatan Ibrahimovic 42' kwa shuti kali baada ya kipa wa Manchester City,Claudio Bravo,kupangua vibaya mpira wa kona.
Vikosi.
Man Utd : De Gea | Valencia, Bailly,Blind, Shaw (Martial) | Fellaini, Pogba |Mkhitaryan (Herrera), Rooney, Lingard
(Rashford) | Ibrahimovic
Man City : Bravo | Sagna, Stones,Otamendi, Kolarov | Fernandinho |Sterling (Sané), De Bruyne (Zabaleta),Silva, Nolito | Iheanacho (Fernando)
0 comments:
Post a Comment