Bungoma,Kenya.
Kocha wa mwisho kutamba na Simba kwenye ligi ya mabingwa Afrika,James Siang'a amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake bungoma,Kenya.
Siang'a aliyewahi pia kuvinoa vilabu vya Kenya Breweries, Re-Union na Gor Mahia amefariki kwa ugonjwa wa kisukari.Ameacha mke mmoja na watoto watano.
0 comments:
Post a Comment