728x90 AdSpace

Saturday, November 07, 2015

LIGUE 1:PSG YAFANYA MAUAJI,YAITUNGUA TOULOUSE 5-0,DI MARIA ATUPIA TENA

Paris,Ufaransa.

Paris Saint Germain imeendelea kujichimbia kileleni mwa ligi ya Ufaransa (Ligue 1) baada ya kuilaza Toulouse kwa mabao 5-0.

Ikiwa katika dimba lake la nyumbani la Parc des Princes Paris Saint Germain imejipatia magoli yake kupitia kwa Ángel di María 6',Zlatan Ibrahimovic 18', 75',Lucas Moura 66' na Ezequel Lavezzi 78'.

Kufuatia ushindi huo Paris Saint Germain inaendelea kubaki kileleni ikiwa na pointi 35 ikiiacha Lyon katika nafasi ya pili ikiwa na pointi zake 22 baada ya kushuka dimbani mara 12.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: LIGUE 1:PSG YAFANYA MAUAJI,YAITUNGUA TOULOUSE 5-0,DI MARIA ATUPIA TENA Rating: 5 Reviewed By: Unknown