728x90 AdSpace

Saturday, November 07, 2015

EPL:LINGARD,MATA WAIBEBA MAN UNITED,LECEISTER CITY YAZIKABA KOO CITY,ARSENAL KILELENI,MATOKEO YOTE YAKO HAPA

Manchester,England.

Magoli mawili ya dakika za 52 na 90 yaliyofungwa na Jesse Lingard na Juan Mata yametosha kuipa Manchester United ushindi dhidi ya West Bromwich Albion katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa jioni ya leo katika dimba la Old Trafford.

Kufuatia ushindi huo Manchester United imeendelea kujikita katika nafasi ya 4 baada ya kufikisha pointi 24 ikiwa nyuma ya vilabu vya Manchester United,Arsenal na Leceister City zenye pointi 25 kila moja.

Matokeo mengine ya ligi kuu

Bournemouth 0 -1Newcastle Leicester City 2 -1Watford 
Manchester United 2 -0 West Bromwich 
Albion Norwich City 1-0 Swansea City 
Sunderland 0 -1 Southampton West Ham United 1 -1 Everton 



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: EPL:LINGARD,MATA WAIBEBA MAN UNITED,LECEISTER CITY YAZIKABA KOO CITY,ARSENAL KILELENI,MATOKEO YOTE YAKO HAPA Rating: 5 Reviewed By: Unknown