-Kiungo Mshambuliaji Santi Carzola ataendelea kuwa nje ya uwanja mpaka mwishoni kwa msimu tofauti na ilivyotarajiwa hapo awali kuwa angeweza kurudi mwezi wa tatu hivyooo kurudi kucheza mpaka msimu ujao. Carzola amekuwa nje ya uwanja tangu mwezi wa kumi mwaka jana akiendelea kuuguza majeraha ya kifundo cha mguu aliyoyapata katika mchezo dhidi ya Ludogorets katika michuano ya klabu bigwa barani ulaya,ambapo alifanyiwa upasuaji mwez wa kumi na mbili uliomuweka nje mpaka sasa.
Welsh Rugby Union confirms plan for 'radical strategy' - one likely to end
with cutting of teams from four to two
-
The Welsh Rugby Union has confirmed its intention to finalise a 'radical
strategy' - one likely to result in the governing body cutting its number
of domes...
0 comments:
Post a Comment