London,England.
Kupata nyumba ya kuishi siku hizi imekuwa ni shida sana kwa maeneo ya mijini.Sababu ziko nyingi lakini kuwa huwa ni gharama za kununua au kupanga chumba/nyuma ama muhitaji kutoridhika na sehemu anazotafutiwa.Hili liko kila mahari.
Baada ya nyota mpya wa Chelsea Pedro Rodriguez kutamka kuwa bado anaishi hotelini kwa kukosa nyumba ya kununua/kupanga tajari madalali wameanza kuchangamkia dili hilo na hizi ni picha za makazi yanayomsubiri nyota huyo wa zamani wa FC Barcelona

1.Vyumba vitano, Mayfair: £40,000 kwa wiki.

2.Vyumba saba, Mayfair: £30,000 kwa wiki

3.Vyumba sita, Marylebone: £25,000 kwa wiki

4.Vyumba saba, Chelsea: £15,000 kwa wiki

5.Vyumba vinne,Canonbury: £1,275 kwa wiki

6.Vyumba viwili,West Kensington house-share - £219 kwa wiki

0 comments:
Post a Comment