728x90 AdSpace

Wednesday, January 07, 2015

MAPINDUZI CUP:ROBO FAINALI KUPIGWA LEO

Pemba,Zanzibar.

Robo fainali ya kwanza ya michuano ya kombe la mapinduzi inatarajiwa kuanza leo jumatano kwa mechi moja kati ya mabingwa wa zamani wa michuano Simba watakapoumana na timu ya Taifa ya Jang'ombe mishale ya saa 2:15 usiku.

Robo fainali nyingine itakuwa hapo kesho alhamisi ambapo miamba yote iliyobaki itajitupa dimbani kuwania nafasi ya kutinga nusu fainali.

Ratiba ni kama ifuatavyo

      Kcca vs Polisi
      Azam vs Mtibwa
      Yanga vs Jku

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: MAPINDUZI CUP:ROBO FAINALI KUPIGWA LEO Rating: 5 Reviewed By: Unknown