728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, April 12, 2017

    Orodha ya wachezaji watakao safiri na timu ya Yanga Sc hapo kesho

    Faridi Miraji,Dar Es Salaam.

    Klabu ya soka ya Yanga SC inatarajia  kuondoka  kesho kuelekea Algeria katika mechi ya marudiano dhidi ya Mc Alger. Msafara wa wachezaji 20, benchi la ufundi na viongozi utaondoka kesho jioni majira ya saa 12 kwa ndege ya shirika la Emirate kupitia Dubai.

    Wachezaji watakaondoka ni 
    Makipa(2)
    -Deo Munishi Dida 
    -Beno Kakolanya 

    Mabeki (8)
    -Juma Abdul 
    -Hassan Kessy 
    -Haji Mwinyi 
    -Oscar Joshua 
    -Nadir Haroub Cannavaro 
    -Vincent Bossue 
    -Vicent Andrew Dante 
    -Kelvin Yondani 

    Viungo (3)
    -Said Juma Makapu 
    -Thaban Kamusoko 
    -Haruna Niyonzima 

    Winga (4) 
    -Saimon Msuva 
    -Deusi Kaseke 
    -Juma Mahadhi 
    -Geofrey Mwashiuya 

    Washambuliaji (3)
    -Amissi Tambwe 
    -Emanuel Martine 
    -Donald Ngoma

    Wachezaji wafuatao wataukosa mchezo huo kwa sababu mbalimbali 
    -Justine Zulu
    -Malim Busungu 
    -Matheo Antony 
    -Ally Mustapha Bathez 
    -Pato Ngonyani 
    -Obrey Chirwa 
    -Yusuph Mhilu


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: Orodha ya wachezaji watakao safiri na timu ya Yanga Sc hapo kesho Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top