Klabu ya Soka ya Simba nchini Tanzania iko katika mazungumzo yanayoendelea
vema ili iweze kupata mgao wake baada ya aliyekuwa mchezaji wake Mbwana
Ally Samatta kuuzwa huko Ubeligiji.
Simba ambayo ilimuuza Samatta klabu ya TP Mazembe mwaka 2012, inapaswa
kupata asilimia 20 ya fedha ambazo TP Mazembe imelipwa baada ya kumuuza
Samatta kwenye klabu hiyo ya Ubelgiji.
TP Mazembe ilimuuza Mtanzania huyo kwa Samatta KRC dola za Kimarekani
800,000
Crystal Palace fans gather at Selhurst Park to fiercely protest against
UEFA's decision to kick them out of the Europa League
-
Hundreds of irate supporters marched through the south London streets on
Tuesday waving banners, chanting, and turning the air smoky and red with
pyrotechn...
0 comments:
Post a Comment