728x90 AdSpace

Friday, October 09, 2015

BOLT AFICHUA SIRI YA KUVAA JEZI YA ARSENAL WAKATI YEYE NI MAN UNITED DAMU


Hakuna tusi kubwa kwa shabiki wa soka kama kuvaa jezi ya timu pinzani.Hali hii ndiyo iliyomkuta bingwa wa mbio fupi duniani Mjamaica Usein Bolt ambaye alilazimka kuvaa jezi ya Arsenal wakati yeye ni shabiki wa kutupa wa Manchester United.

Habari zinasema Bolt alipinga na mtangazaji maarufu wa Televisheni wa Mexico ambaye ni shabiki wa Arsenal Patty Lopez de la Cerda kuwa mmoja kati yao ambaye timu yake ingefungwa katika mchezo wa jumapili basi atalazimika kuvaa jezi ya timu pinzani na kwa kuwa Manchester United ilibamizwa 3-0 na Arsenal,Bolt hakuna na ujanja zaidi ya kuvaa jezi hiyo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: BOLT AFICHUA SIRI YA KUVAA JEZI YA ARSENAL WAKATI YEYE NI MAN UNITED DAMU Rating: 5 Reviewed By: Unknown