
Friday, March 31, 2017

Manchester, England. BEKI wa kulia wa Manchester United,Antonio Valencia amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa klabu hiyo kwa mwezi...
Dakika 630 za rekodi Azam FC vs Yanga SC Ligi Kuu
Friday, March 31, 2017
Mwandishi Wetu,Dar Es Salaam. MACHO ya wapenzi wengi wa soka nchini wikiendi hii yatakuwa kwenye viwanja viwili nchini, lakini as...
Baada ya sanamu la Cristiano Ronaldo kudaiwa kukosewa,haya hapa masanamu mengine yanayodaiwa kutofanana na wahusika
Friday, March 31, 2017
Madeira,Ureno. MAPEMA juzi Jumatano sanamu la staa wa Ureno,Cristiano Ronaldo lilizinduliwa katika hafla ya kuubadili jina uwanja wa...
Hii hapa ratiba nzima ya ligi kuu England wikendi hii pamoja na mida ya michezo husika
Friday, March 31, 2017
London,England. London,England. LIGI kuu ya soka ya nchini Engand maarufu kama EPL inatarajiwa kuendelea tena kesho Jumam...
Ahmed Selula mchezaji bora wa mwezi Machi ligi kuu Zanzibar
Friday, March 31, 2017
Lameck Francis,Zanzibar. Kamati ya Ufundi ya ZFA Jana imemtangaza golikipa wa Taifa Jang'ombe, Ahmed Suleiman maarufu ka...
Roger Federer atinga nusu fainali ya michuano ya Miami Open
Friday, March 31, 2017
Miami,Marekani. MSWISI Roger Federer amefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya wazi ya tenesi ya Miami (Miami Open) baada ya ...
Kombe la Dunia 2026 kuwa na timu 46
Friday, March 31, 2017
FaridMiraji,Dar Es Salaam. Kuanzia mwaka 2026 kombe la Dunia litashirikisha timu 48 kutoka Mabara 6 ambazo zitagawanywa Makund...
Ligi kuu bara kuendelea tena wikendi hii,Yanga uso kwa macho na Azam,Simba wako Kaitaba,ratiba kamili iko hapa
Friday, March 31, 2017
Paul Manjale,Dar Es Salaam. BAADA ya mapumziko ya wiki mbili kupisha michuano ya kimataifa,ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara maa...
Alexis Sanchez atwaa uchezaji bora wa mwezi Arsenal kwa mara ya tano
Friday, March 31, 2017
London, England. ALEXIS Sanchez ameendelea kujikusanyia tuzo klabuni Arsenal hii ni baada ya Alhamisi usiku kutangazwa mshindi w...
Thursday, March 30, 2017
Robo fainali ASFC:Yanga,Azam viwanjani Aprili 5 na 22
Thursday, March 30, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania. Robo Fainali ya tatu ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), kati ya Azam...
Serengeti Boys yashinda tatu bila dhidi ya Burundi
Thursday, March 30, 2017
Faridi Miraji , Dar es salaam. Timu ya Taifa ya vijana nchini Tanzania , Serengeti boys imeifunga wenzao w...
Marefa wa Rwanda, Guinea kuchezesha Yanga na MC Alger
Thursday, March 30, 2017
Faridi Miraji , Dar es salaam. SHIRIKISHO ya Soka Afrika (CAF), limewateua marefa wa Rwanda na Guinea...
Nyasi bandia za Simba SC hatarini kupigwa mnada
Thursday, March 30, 2017
Faridi Miraji,Dar Es Salaam. Kampuni ya udalali ya Majembe Auction Mart inataka kupi...
Bastian Schweinsteiger apewa jezi namba 31 Chicago Fire,aanza mazoezi kibabe tayari kuivaa Montreal Impact Jumapili
Thursday, March 30, 2017
Chicago,Marekani. KIUNGO wa zamani wa Manchester United,Bastian Schweinsteige akiwa ameshika jezi namab 31 aliyopewa na klabu yake mpya...
Nyota wa zamani wa Chelsea amfuata Michael Essien Indonesia
Thursday, March 30, 2017
Bandung,Indonesia. NYOTA wa zamani wa Chelsea,Carlton Cole amejiunga na klabu ya Persib Bandung ya Indonesia ambayo hivi karibuni...
Mourinho akiri kumsajili Neymar ni mziki
Thursday, March 30, 2017
Paul Manjale KOCHA wa Manchester United,Mreno Jose Mourinho amekiri kuwa kumsajili staa wa Barcelona na Brazil,Neymar ni mziki y...
Claudio Tapia bosi mpya chama cha soka Argentina
Thursday, March 30, 2017
Paul Manjale. CLAUDIO Chiqui Tapia ndiye Raisi mpya wa chama cha soka cha Argentina,AFA hii ni baada ya kupata ushindi wa kishin...
Chama cha soka Iringa chakiri mambo si shwari kati yake na Lipuli FC
Thursday, March 30, 2017
James Eduma,Iringa. Uongozi wa chama cha soka mkoani Iringa (IRFA) umekiri kutokuwepo kwa mahusiano mazuri kati yao na viongozi ...
Subscribe to:
Posts (Atom)