
Wednesday, August 31, 2016

Leceister,Uingereza. MSHAMBULIAJI wa Kimataifa wa Algeria,Islam Slimani,akiwa ameshika jezi ya Leceister City baada ya kukamilisha usajil...
MARIO BALOTELLI AIHAMA LIVERPOOL NA KUTUA UFARANSA
Wednesday, August 31, 2016
Nice,Ufaransa. Mario Balotelli (pichani) ameihama Liverpool na kujiunga na klabu ya OGC Nice inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini U...
HATIMAYE JACK WILSHERE ASAINI BOURNEMOUTH KWA MKOPO
Wednesday, August 31, 2016
London,Uingereza. KIUNGO wa Kimataifa wa England,Jack Wilshere akiwa ameshika jezi ya Bournemouth baada ya kukamilisha uhamisho wa mkopo ...
RASMI:DAVID LUIZ AREJEA CHELSEA
Wednesday, August 31, 2016
London,Uingereza. HATIMAYE Chelsea imemsajili kwa mara ya pili beki wa kimataifa wa Brazil,David Luiz,lakini safari hii akitokea Paris Sa...
BAADA YA KUFELI VIPIMO JANA,LEO ASAMOAH GYAN APATA TIMU MPYA
Wednesday, August 31, 2016
Al Ahli,Falme za Kiarabu. MSHAMBULIAJI wa Kimataifa na Nahodha wa Ghana,Asamoah Gyan,amejiunga na klabu ya Al Ahli ya Falme za Kiarabu kw...
DONE DEAL:ALONSO ATUA CHELSEA,GNABRY AIHAMA ARSENAL
Wednesday, August 31, 2016
London,Uingereza. Chelsea imetangaza kufanikiwa kumsajili mlinzi wa kushoto wa Hispania,Marcos Alonso Mendoza, kutoka Fiorentina kwa ada ...
SIMBA SC KUMBURUZA HASSAN KESSY MAHAKAMANI KISA TUHUMA ZA RUSHWA
Wednesday, August 31, 2016
U ONGOZI wa Klabu ya Simba umesema utamburuza mahakamani beki wa Yanga Hassan Kessy kwa madai ya kuwatuhumu kumpa rushwa. Akizungu...
HII SASA SIFA:USAJILI UINGEREZA WAVUNJA REKODI WAFIKIA PAUNDI BILIONI MOJA NA USHEE
Wednesday, August 31, 2016
London,Uingereza. U SAJILI wa Shkodran Mustafi kwenda Arsenal kwa dau la £35m siyo kwamba umeonyesha kuwa klabu hiyo imeanza kuo...
Tuesday, August 30, 2016
MUSTAFI ATUA ARSENAL
Tuesday, August 30, 2016
London, Uingereza. ARSENAL imeimarisha safu yake ya ulinzi kwa kumsajili mlinzi wa Ujerumani,Shkodran Mustafi,kutoka Valencia kwa ada ya ...
RASMI INTER MILAN YAMNASA GABIGOL
Tuesday, August 30, 2016
Milan,Italia. Klabu ya Inter Milan imevipiga bao vilabu vya Manchester United na Real Madrid baada ya jioni hii kutangaza kukamilisha usa...
RASMI ARSENAL YAMSAJILI LUCAS PEREZ
Tuesday, August 30, 2016
London,Uingereza. BAADA ya ngoja ngoja nyingi hatimaye Arsenal imemtangaza Mshambuliaji Lucas Perez kuwa nyota wake mpya. Perez,27,ameji...
ASAMOAH GYAN AFELI VIPIMO READING
Tuesday, August 30, 2016
Reading, England. WAKATI heka heka za usajili zikikoleza kasi sehemu mbalimbali duniani, matukio ya wachezaji kufeli vipimo vya afya nayo...
BARCELONA YASAJILI MPYA MWINGINE LEO
Tuesday, August 30, 2016
Barcelona, Hispania. Barcelona imeendelea na pilika pilika za kukiongezea nguvu kikosi chake ili kuhakikisha inatisha zaidi msimu huu hii...
HAMIS KIIZA APATA TIMU AFRIKA KUSINI
Tuesday, August 30, 2016
Hamis Kiiza Bethlehem,Afrika Kusini. MSHAMBULIAJI wa zamani wa vilabu vya Yanga SC na Simba SC,Mganda Hamisi Kiiza ‘Diego’ yupo katika h...
SIMBA SC YAKUBALI KUCHEZA DODOMA SEPTEMBA 3
Tuesday, August 30, 2016
Dar Es Salaam,Tanzania. Klabu ya Simba imekubali mwaliko maalumu wa kwenda kucheza mkoani Dodoma na timu ya Polisi Dodoma katika dhima ya...
NAHODHA CLAUDIO BRAVO AACHWA KIKOSI CHA CHILE
Tuesday, August 30, 2016
Santiago,Chile. M LINDA Mlango mpya wa Manchester City,Claudio Bravo,ameachwa nje ya kikosi cha Chile ambacho kimeanza kambi kwa a...
LUKA MODRIC NAHODHA MPYA CROATIA,KUANZA MAJUKUMU UWANJA UKIWA TUPU
Tuesday, August 30, 2016
Zagreb,Croatia. K IUNGO wa Real Madrid Luka Modric ameteuliwa kuwa nahodha mpya wa timu ya taifa ya Croatia na Kocha wa nchi hiyo ...
JACK WILSHERE KUIHAMA ARSENAL NDANI YA MASAA MACHACHE YAJAYO
Tuesday, August 30, 2016
London,Uingereza. JACK Wilshere ataihama Arsenal kwa mkopo katika kipindi kifupi kilichobaki kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili Jum...
Monday, August 29, 2016
MBAYA:STRAIKA WA CAMEROON ATUPIWA VIRAGO BAADA YA KUGUNDULIKA KUWA ANA VVU
Monday, August 29, 2016
Alexandria,Misri. STRAIKA wa Cameroon,Samuel Nlend,amevunjiwa mkataba na klabu yake mpya ya Al Ittihad ya Misri baada ya kugundulika kuwa...
Subscribe to:
Posts (Atom)