728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, June 14, 2016

    MAKUNDI LIGI DARAJA LAKWANZA HAYA HAPA

    Dar es Salaam,Tanzania.

    Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limetangaza makundi matatu ya timu zitakazoshiriki Ligi Daraja la Kwanza ya StarTimes msimu wa 2016/2017.

    Michuano hiyo inatarajiwa kuanza Agosti, mwaka huu mara baada ya kukamilisha mchakato wa usajili unaoanza Juni 15, 2016.

    Makundi hayo yenye timu nane (8) kwa kila moja, yamegawanywa kwa alama
    ’A’, ‘B’ na ‘C’.

    Kundi A:
    1 Abajalo ya Dar es Salaam
    2 African Sports ya Tanga
    3 Ashanti United ya Dar es Salaam
    4 Kiluvya United ya Pwani
    5 Friends Rangers ya Dar es Salaam
    6 Lipuli ya Iringa
    7 Mshikamano FC ya Dar es
    Salaam
    8 Polisi Dar ya Dar es Salaam

    Kundi B:
    1 JKT Mlale ya Ruvuma
    2 Coastal Union ya Tanga
    3 Kimondo FC ya Mbeya
    4 Kinondoni Municipal Council
    ya Dar es Salaam
    5 Kurugenzi ya Iringa
    6 Mbeya Warriors ya Mbeya
    7 Njombe Mji ya Njombe
    8 Polisi Morogoro ya Morogoro

    Kundi C:
    1 Alliance Schools ya Mwanza
    2 Mgambo Shooting ya Tanga
    3 Mvuvumwa FC ya Kigoma
    4 Panone FC ya Kilimanjaro
    5 Polisi Dodoma ya Dodoma
    6 Polisi Mara ya Mara
    7 Rhino Rangers ya Tabora
    8 Singida United ya Singida


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MAKUNDI LIGI DARAJA LAKWANZA HAYA HAPA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top