728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, November 08, 2015

    KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA LEO JUMAPILI

    Dar es salaam,Tanzania.

    Michuano ya Kombe la Shirikisho ya (Azam Sports Federation Cup) itafunguliwa rasmi leo Jumapili (Novemba 8, 2015) kwa mechi tatu zitakazochezwa kwenye viwanja vitatu tofauti, ambao jumla ya timu 64 zitashirki kuwania nafasi ya kuwakilisha nchi kwenye Kombe la Shirikisho barani Afrika mwaka 2017.

    Mechi rasmi ya ufunguzi itakuwa kati ya wenyeji JKT Rwamkoma ya Mara na Villa
    Squad ya Dar es Salaam itakayofanyika kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume mjini Musoma.

    Bingwa wa michuano hiyo inayodhaminiwa na Azam Sports HD ataiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika mwaka 2017.


    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KOMBE LA SHIRIKISHO KUANZA LEO JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top