
Monday, November 30, 2015

London,England. LIGI kuu ya England imeendelea kuonyesha kuwa ni ligi tajiri zaidi duniani baada ya ripoti iliyotolewa leo kuonyesha kuw...
KIKOSI BORA CHA WIKI EPL HIKI HAPA,VILABU VIDOGO VYATAMBA
Monday, November 30, 2015
London,England. Baada ya kumalizika kwa michezo ya raundi ya 14 ya ligi kuu nchini England wikendi iliyopita kifuatacho ni kikosi cha wa...
ARSENAL BHANA:YALETA ASIYE NA TIMU AZIBE PENGO LA COQUELIN
Monday, November 30, 2015
London,England. ARSENAL imeanza mchakato wa kuziba pengo la kiungo wake aliye majeruhi Francis Coquelin baada ya kuripotiwa kumuita kwa ...
ROBO FAINALI CECAFA KUANZA LEO
Monday, November 30, 2015
Addis Ababa,Ethiopia. Michezo ya robo fainali ya michuano ya kombe la Cecafa Chalenji Cup itaanza kutimua vumbi leo huko Adis Ababa Ethi...
Sunday, November 29, 2015
ETOILE DU SAHEL YATWAA UBINGWA WA SHIRIKISHO AFRIKA,YAITUNGUA ORLANDO PIRATES
Sunday, November 29, 2015
Klabu ya soka ya Etoile du Sahel kutoka Tunisia ndio mabingwa wa taji la Shirikisho barani Afrika mwaka 2015. Sahel walikabidhiwa taji h...
ARSENAL YAKWAMA CARROW ROAD,YATOKA SARE NA NORWICH CITY,LIVERPOOL YATAKATA
Sunday, November 29, 2015
London,England. ARSENAL imelazimishwa sare ya goli 1-1 na Norwich City katika mchezo wa ligi kuu nchini England uliopigwa jioni ya leo k...
CHELSEA YAIBANA SPURS,YATOKA NAYE SARE,COSTA ACHAFUA HALI YA HEWA UGENINI
Sunday, November 29, 2015
London,England. Chelsea imeibana Tottenham na kutoka nayo sare ya bila kufungana katika mchezo mkali wa ligi kuu uliopigwa mchana wa leo...
TYSON FURY AMTWANGA KLITSCHKO NA KUTWAA UBINGWA WA WBA, IBF na WBO
Sunday, November 29, 2015
Duesseldorf,Ujerumani. Tyson Fury amefanikiwa kutwaa ubingwa wa WBA, IBF na WBO baada ya kumtwanga Wladimir Klitschko katika mpambano wa...
USAJILI:LIVERPOOL YATENGA £20M KUIBOMOA STOKE CITY,MOURINHO ANA SIKU 14 TU KUAMUA AMSAJILI VARDY AMA BERAHINO,ARSENAL NAYO YAJITOSA KWA STONES/EMBOLO AZICHANGANYA ARSENAL,SPURS
Sunday, November 29, 2015
Habari na Paul Manjale Bellerin:Mlinzi wa kulia wa Arsenal Hector Bellerin,20 amesema klabu hiyo haina sababu ya kufanya usajili mwezi ...
ARSENAL YAPONDWA NA WANAMAZINGIRA IKIELEKEA KUIVAA NORWICH CITY LEO.
Sunday, November 29, 2015
. London,England. Klabu ya Arsenal imeingia katika mzozo baada ya wanaharakati wa masuala ya mazingira kudai hatua ya klabu hiyo kusafiri ...
Saturday, November 28, 2015
MAN UNITED,LECEISTER CITY NGOMA DROO,ZAIPISHA MAN CITY KILELENI,VARDY AWEKA REKODI MPYA LIGI KUU ENGLAND
Saturday, November 28, 2015
Manchester, England. Manchester United imelazimishwa sare ya bao 1-1 na timu ngumu ya Leceister City katika mchezo mkali wa ligi kuu uli...
LA LIGA:BARCELONA YAINYONGA REAL SOCIEDAD NNE MTUNGI
Saturday, November 28, 2015
Barcelona,Hispania. Barcelona imeendelea kutoa vipigo kwa wapinzani wake baada ya jioni ya leo kuitandika Real Sociedad kwa mabao 4-0 katik...
KILI STARS YABANWA NA ETHIOPIA,ROBO FAINALI YAWAKUTANISHA TENA
Saturday, November 28, 2015
Addis Ababa,Ethiopia. Kilimanjaro Stars imemaliza michezo ya hatua ya makundi ya Cecafa baada ya jioni ya leo kutoka sare ya goli 1-1 na we...
ZAKI:NINGETUA MADRID ILA ZAMALEK ILITAKA PESA YA KUMUUZA MESSI
Saturday, November 28, 2015
Cairo,Misri. NYOTA wa zamani wa Zamalek Amr Zaki amefichua siri iliyofanya ashindwe kujiunga na Real Madrid licha ya miamba hiyo ya Hisp...
CHALENJI CUP:KILI STARS DIMBANI LEO YAWAVAA WENYEJI ETHIOPIA,BURUNDI USO KWA USO NA UGANDA
Saturday, November 28, 2015
Addis Ababa,Ethiopia. HATUA ya makundi ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inahitimishwa leo kwa ...
Friday, November 27, 2015
HASSANI KESSY MJANJA SANA!!HII NDIYO SABABU INAYOFANYA AIPASUE KICHWA SIMBA
Friday, November 27, 2015
Dar es salaam,Tanzania. Beki wa pembeni wa Simba, Hassani Kessy, amefunguka na kutaja sababu inayomzuia asiongeze mkataba ni timu hiyo k...
ZANZIBAR HEROES YAAGA CHALENJI KWA KUISHUSHIA KIPIGO KIKALI KENYA
Friday, November 27, 2015
Addis Ababa,Ethiopia. Zanzibar heroes imeyaanga mashindano ya Cecafa yanayoendelea huko Ethiopia kwa kuishushia Kenya kipigo cha magoli ...
AISHI MANULA AFICHUA SIRI YA KUWAUMBUA WAPIGA PENATI
Friday, November 27, 2015
Dar es salaam,Tanzania. KIPA namna moja wa timu ya Azam FC, Aishi Manula, amefichua siri ya kudaka penalti nyingi, akidai kuwa kuna mamb...
WIKENDI HII EPL:MAN CITY v SOUTHAMPTON,SPURS v CHELSEA,UNITED,ARSENAL ZIKO UGENINI,PATA RATIBA/UTABIRI
Friday, November 27, 2015
London,England. Ligi kuu England itaendelea tena wikendi hii kwa vilabu mbalimbali kushuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu. Siku ya j...
FABREGAS:KIKWAZO MESSI
Friday, November 27, 2015
London,England. Kiungo wa Chelsea Muhispania Cesc Fabregas ametazama jinsi Neymar Jr alivyoibeba Barcelona wakati Messi anaumwa na kuki...
LIVERPOOL,SPURS ZATINGA 32 BORA EUROPA LIGI,CELTIC YATUPWA NJE
Friday, November 27, 2015
Liverpool,England. Liverpool na Tottenham zimetinga hatu ya 32 ya michuano midogo ya Ulaya (Europa Ligi) baada ya usiku wa kuamkia leo k...
Thursday, November 26, 2015
HAYA NDIYO MAJUKUMU MANNE ANAYOYATAMANI DROGBA SIKU AKIRUDI CHELSEA
Thursday, November 26, 2015
London,England. Gwiji wa zamani wa Chelsea Muivory Coast Didier Drogba Amefichua siri kuwa baada ya kuachana na soka atarejea tena klabu...
HAWA NDIYO WAKALI WA KUFUMANIA NYAVU LIGI YA MABINGWA ULAYA MSIMU HUU
Thursday, November 26, 2015
Jina Timu ...
HIKI HAPA KIKOSI BORA CHA WIKI LIGI YA MABINGWA
Thursday, November 26, 2015
London,England. Muslera Baada ya kushuhudia michezo ya ligi ya mabingwa Ulaya siku ya jumanne na jumatano kifuatacho ni kikosi cha...
PLUIJM AJA NA STAILI YA CHINJA CHINJA YANGA
Thursday, November 26, 2015
UNAIJUA ile staili ambayo Barcelona imeitumia kuichinja Real Madrid kwenye El Clasico kwa kuwapiga bao 4-0? Basi ndiyo hiyo imeanza kut...
MOURINHO AELEZA KWANINI ANATAKA ARSENAL ITUPWE NJE YA MICHUANO YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Thursday, November 26, 2015
London,England. Watoke tu!!Hii ni kauli ya kocha Jose Mourinho baada ya kudai kuwa anatamani kuiona Arsenal ikitupwa nje ya michuano y...
ISCO ATUPWA JELA YA SOKA
Thursday, November 26, 2015
Madrid,Hispania. Nyota wa Real Madrid Isco anatarajiwa kuwa nje ya dimba kwa majuma mawili baada ya kufungiwa kutokana na kosa la k...
BOXING:WIKENDI HII NI TYSON FURRY NA WLADIMIR KLITSCHKO
Thursday, November 26, 2015
Dusseldorf,Ujerumani. Wapenzi wa masumbwi jumamosi ya wiki hii watapata fursa nzuri ya kutazama na kujua nani ni mkali katika mchezo w...
Subscribe to:
Posts (Atom)